Blog hii imeanzishwa kwa mawazo ya wanafunzi wa Mazengo Shule Msingi mwaka 2003.
Huu ni mchango mmojawapo katika kuienzi shule ya Mazengo kwa yote iliyotutendea.
MUNGU wetu tuongoze.
Sunday, December 7, 2014
KIONGOZI wetu, Dada yetu. Witness Peter.
Huyu ndiye aliyewaunga wanamazengo 2003 na kuwaweka pamoja hadi wanafikia hapa leo.
No comments:
Post a Comment